1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri Nape ashangazwa kupungua habari za uchunguzi

30 Juni 2022

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia nchini Tanzania Nape Nnauye amewataka wadau katika sekta ya habari nchini humo kufanya habari za uchunguzi katika kipindi ambacho wadau wa habari wanalalamikia uwepo wa sheria kandamizi. Kipi hasa anachomaanisha kwa kauli yake hiyo aliyoitoa jana katika maadhimisho ya miaka 60 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam? Sikiliza mahojiano kati yake na Sudi Mnette.

https://p.dw.com/p/4DSwN