Watanzania wapata huduma ya urembo kupitia appTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoElizabeth Fredrick Shoo12.04.201612 Aprili 2016Katika Sema Uvume wiki hii, Elizabeth Shoo anatambulisha app ya "Beauty Pro" inayoruhusu wanawake Tanzania kutafuta wasusi na wataalamu wa vipodozi. Pamoja na hayo, ataangazia mabadiliko WhatsApp yanayoifanya huduma hiyo iwe salama zaidi.https://p.dw.com/p/1ITzDMatangazo