1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watanzania wafuatilia mafuvu ya mababu zao Berlin

17 Mei 2024

Familia kadhaa kutoka nchini Tanzania, zipo mjini Berlin kwa ajili ya kufuatilia mafuvu ya mababu zao ambao walinyongwa katika zama za ukoloni wa Ujerumani kwa iliyokuwa Tanganyika, sasa Tanzania Bara.

https://p.dw.com/p/4fymO