1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaRwanda

Wanyarwanda wamchagua rais na wabunge

15 Julai 2024

Mamilioni ya wanyarwanda wanateremka vituoni leo kupiga kura katika uchaguzi rais. Rais aliyeko madarakani Paul Kagame anatarajiwa kushinda na kuendelea na utawala wake wa mkono wa chuma kwa miaka mingine mitano.

https://p.dw.com/p/4iInM