1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake waponda kokoto Dar es salaam

Sylvia Mwehozi
13 Julai 2022

Pembezoni mwa jiji la kibiashara Dar es salaam nchini Tanzania, wanapatikana Wanawake wanaoponda kokoto ili kujipatia kipato na kukidhi mahitaji ya familia zao. Wanawake hawa ni mashujaa kwelikweli na #Kurunzi #Wanawake inamulika harakati zao. #kurunziwanawake

https://p.dw.com/p/4E4zP