1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wamshinikiza Ruto kutimiza ahadi ya usawa wa jinsia

Wakio Mbogho13 Septemba 2022

Kenya imepata Rais mpya, na sasa kinachosubiriwa kwa hamu ni kuona uteuzi atakaoufanya kwenye baraza lake la mawaziri na nyadhifa zingine kuu serikalini ili kufanikisha agenda zake. Makundi ya wanawake yamekuwa yakitoa shinikizo kwa Rais William Ruto kutimiza ahadi ya kuhakikisha usawa wa kijinsia kwa kuwateua wanawake kushikilia nusu ya nafasi hizo. Sikiliza ripoti ya Wakio Mbogho kutoka Nakuru.

https://p.dw.com/p/4GnQV