1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wajifunza kuogelea kwa kuokoa maisha ya wengine

Khelef Mohammed15 Septemba 2021

Zanzibar, nchi ya visiwa katika upande wa mashariki mwa Afrika, imezungukwa na Bahari ya Hindi. La ajabu ni kuwa, licha ya kwamba wakaazi wake wanaitegemea bahari kwa sehemu kubwa ya maisha yao, wengi wao hawajui kuogolea.Lakini wanawake hawa katika kisiwa kidogo cha Uzi wanajitolea kuwasaidia watu kujifunza kuogelea na kuokowa maisha yao na ya wenzao. Sikiliza makala hii ya Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/40MKh