1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wa Vijijini ni walengwa wapata elimu juu ya UKIMWI

20 Desemba 2005

Nchini Tanzania wanawake wanao ishi vijijini walengwa kupata elimu zaidi juu ya kuishi na UKIMWI

https://p.dw.com/p/CHo9
Wanawake wakiwa Shambani
Wanawake wakiwa ShambaniPicha: UNESCO

Bi Lydia Rwechungura ni muwakilishi wa jumuiya ya kimataifa ya wanawake wanao ishi na virusi vya UKIMWI nchini Tanzania.

Katika kipindi hiki anaelezea jinsi jumuiya hii inavyo msaidia mwanamke kupata msaada anaostahiki hasa wanawake wa vijijini.