1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake na Maendeleo

11 Januari 2006

Katika kipindi hiki bibi Vivian Kiteke mwanasheria na mwenyekiti wa tume ya kupambana na Ubakaji anaeleza kazi za tume hiyo na matatizo yake.

https://p.dw.com/p/CHnz
Kina mama katika harakati
Kina mama katika harakatiPicha: AP
Sikiliza kipindi cha Wanawake na Maendeleo kinachotayarishwa na Zainab Aziz kutoka idhaa ya Kiswahili ya radio D/W ili upate kufahamu juu ya maswala mbali mbali yanayoshughulikiwa na wanawake.