1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wangui Waweru mfanyabishara na mfugaji wa Konokono Kenya

1 Agosti 2023

DW imefanya mahojiano na Wangui Waweru mwanamama kutoka kaunti ya Nakuru nchini Kenya anayejishughulisha na biashara ya ufugaji wa konokono na mtengenezaji wa bidhaa za urembo kutokana na konokono na wakati huo huo anatoa mafunzo kwa akina mama na vijana kwa kutumia shamba lake. Kwa mengi zaidi ungana na Zainab Aziz kwenye kipindi cha Wanawake na Maendeleo.

https://p.dw.com/p/4UdBv