1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake na maendeleo: Programu ya ''Ndoto ya Kalista''

23 Agosti 2023

Katika makala ya wanawake na maendeleo, Selina Mdemu tunaiangazia ''ndoto ya kalista'' programu maalumu nchini Tanzania iliyoanzishwa na mwanadada Scholastica Sultan aliyejikita kuwapa ujuzi na maarifa ya kuwa na fani itakayowawezesha kujikwamua kiuchumi.

https://p.dw.com/p/4VU3N