1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake na Maendeleo: Ma-DJ wa kike watawala muziki Misri

5 Mei 2023

Ilifahamika kuwa kazi ya uchangaji muziki kwenye kumbi za starehe ni ya wanaume pekee, lakini nchini Misri wanawake wameona njia ya kujieleza na kujipatia riziki kwa kuwa nao ma-DJ. Sikiliza makala ya Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4QxnL