1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaBurundi

Wakuu wa EAC watathmini maendeleo ya ujumbe wa mataifa yao nchini DRC

Bruce Amani31 Mei 2023

Katika mji mkuu wa Burundi, Bujumbura kunafanyika mkutano wa kilele wa viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kutathmini maendeleo ya ujumbe wa jumuiya katika kurejesha amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Bruce Amani alizungumza na mwandishi wetu wa Bujumbura, Amida Issa na kwanza alimuuliza ni akina nani wanaoshiriki?

https://p.dw.com/p/4S1k0