1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wajerumani Waswahili wa Hamburg

10 Julai 2023

Wajerumani Thurid na Anna Zander wanajivunia Uswahili wao. Mmoja amejifunza Kiswahili chake mitaani na mwingine ameunda kijiwe cha kuzungumza lugha hiyo mjini Bremen. Ebu watazame walipokutana na Sudi Mnette mjini Hamburg.

https://p.dw.com/p/4TfuF