1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahamiaji wa Kiafrika wakwama katika mji wa Ventimglia nchini Italia

26 Julai 2023

Mji wa Italia wa Ventimiglia, kwenye mpaka wa taifa hilo na Ufaransa umegeuka kituo muhimu kwa wahamiaji wa Kiafrika na Asia wanaotumaini kuvuka hadi Ufaransa. Mji huo unajulikana kwa maeneo yake ya mapumziko. Lakini mbali na watalii, mamia huvumilia hali mbaya na kuhatarisha maisha yao wakifanya majaribio ya mara kwa mara kuvuka mpaka. Sikiliza mengi zaidi katika kipindi cha mwangaza wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/4UQAj