1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUganda

Wabunge Waislamu Uganda wavilalamikia vyombo vya usalama

5 Desemba 2022

Wabunge Waislamu nchini Uganda wamelalamika namna vyombo vya dola vinavyowakamata viongozi wa Kiislamu na kukiuka sheria na haki za binadamu na kutoa siku mbili kwa serikali kumwachia au kumfikisha mahakamani sheikh mmoja aliyekamatwa wiki iliyopita nje ya msikiti na waislamu wengine kadhaa ambao baadhi jamaa zao hawajui wanakozuiliwa. Mwandishi wetu Lubega Emmanuel alituletea ripoti ifuatayo.

https://p.dw.com/p/4KUys