1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyama vya siasa vya upinzani Afrika vimetekeleza wajibu wao?

Hawa Bihoga
2 Agosti 2023

Migogoro ya ndani ya madaraka, kutoaminiana na kukosekana kwa umoja kumesambaratisha upinzani wa kisiasa katika baadhi ya nchi barani Afrika. Wataalamu wanasema changamoto kama hizo huwa zinazuia demokrasia ya kweli.

https://p.dw.com/p/4Uh8C