1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viswahili vya Zanzibar: Lahaja ya Kitumbatu

20 Juni 2024

Mohammed Khelef anawatembelea baadhi ya watumiaji wa ndimi za Kiswahili kisiwani Unguja, na hapa anazungumza na Bi Hidaya Mgeni wa kijiji cha Tazari, kaskazini mwa kisiwa hicho. Tuambie umesikia maneno gani mapya kwako? Na umefananishaje na au kuyatafautishaje na Kiswahili unachokijuwa wewe?

https://p.dw.com/p/4hJnd