1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viswahili vya Zanzibar: Lahaja ya Kikaaye

20 Juni 2024

Licha ya Kiunguja Mjini kuchaguliwa kuwa msingi wa kuanzisha Kiswahili Sanifu, kisiwani Unguja penyewe panazungumzwa lahaja nyengine kadhaa, kikiwemo Kikaaye, kinachotumiwa na watu wa kusini wa kisiwa hicho. Mohammed Khelef anazungumza na mmoja wa wakaazi wa huko, Suleiman Hafidh.

https://p.dw.com/p/4hJna