1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Visa vya ubakaji watoto vinavyofanywa na ndugu wa karibu

22 Februari 2023

Ripoti mbalimbali zinaonyesha kuwa ongezeko la vitendo vya ubakaji na ulawiti kwa watoto mara nyini vinafanywa na watu wa karibu na familia. Hatahivyo kesi za unyanyasaji huo zinamalizwa katika ngazi ya familia na kumwachia kovu kubwa mtoto. Sikiliza kisa cha msichana huyu aliyebakwa na mjomba wake katika video yake Yakub Talib. #kurunzi

https://p.dw.com/p/4NqtW