1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wenye ulemavu Zanzibar wafunzwa uongozi

Salma Said/ MMT28 Julai 2023

Kwenye makala ya Vijana Tugutuke, utawasikia vijana wenye ulemavu huko visiwani Zanzibar waliopewa mafunzo ya kuwa viongozi. Utasikia pia sababu hasa ya kuwapatia mafunzo kama hayo vijana wa aina hii na kwa nini wanapewa mafunzo haya wakati huu? Salma Said alikutana na vijana hawa na kuzungumza nao. Karibu.

https://p.dw.com/p/4UW10