1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wanatumia Internet kuleta matokeo chanya kwenye jamii

Veronica Natalis
10 Novemba 2023

Kampuni tatu za vijana wa kitanzania zimechaguliwa kuwa ndio kampuni bora zinazotoa huduma za kidigitali, huduma zinazotoa elimu ya jinsi ya kukabiliana na changamoto mbali mbali za kiuchumu, mazingira, elimu na hata jamii. Tazama video na Veronica Natalis

https://p.dw.com/p/4YeYK
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio