1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na Uongozi: Assumpta Godfrey aliyeanzisha kampeni ya madawati, Tanzania

Anuary Mkama (HON)6 Oktoba 2023

Tanzania bado inakabiliwa na changamoto kwenye miundombinu ya elimu na wanafunzi wengi bado wanapitia magumu kuanzia kukaa kwenye vyumba bora vya madarasa hadi upatikanaji wa kutosha wa madawati. Basi kwenye makala ya Vijana na Uongozi utamsikia kijana Assumpta Godfrey wa Be Humble Initiative. Je, inahusiana vipi na changamoto hizi?

https://p.dw.com/p/4XDEh