1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana mchakamchaka na tabia ya kuzima milio ya simu

12 Novemba 2021

Ni mara ngapi umempigia mtu simu kisha haipokei? Halafu baadae anakwambia samahani hakusikia ikiita kwa sababu alikuwa amezima mlio? Au ni lini mara ya mwisho ulimpigia mtu simu mkaongea kwa mapana na sio kuandikiana tu ujumbe? Makala hii ya vijana mchakamchaka inaangalia muenendo wa vijana kupendelea kuizima milio ya simu zao na kugeukia mawasiliano ya maandishi. Ungana na Bruce Amani.

https://p.dw.com/p/42v3d