1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaAfrika

Vijana Mchakamchaka: Mtindo wa upigaji picha za kuvutia

Hawa Bihoga29 Januari 2024

Mtindo wa kupiga picha kwa ajili ya matumizi mbalimbali haujaanza leo, hapo kale familia iliweza kumuita mpiga picha na familia nzima ikapiga picha kwa pamoja na kutunza kwa ajili ya kumbukumbu na kupamba nyumbani. Lakini sasa mambo yamekuwa tofauti mtindo huo umetamalaki kwa vijana lakini kwa namna ya tofauti, nini matumizi ya picha hizi?

https://p.dw.com/p/4SlV4