1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana hupendelea njia zipi za uzazi wa mpango?

26 Septemba 2023

Wewe kama kijana unayo haki ya kufahamu njia tofauti na za kisasa juu ya uzazi wa mpango au vipi unaweza kufuatilia njia za asili. Septemba 26 ni siku ya uzazi wa mpango duniani. Vijana wanaeleza uelewa wao kuhusu uzazi wa mpango.

https://p.dw.com/p/4Wpgw