1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana chuo kikuu wajitosa kuwaokowa mabarobaro, wasichana

14 Juni 2021

Kufuatia ongezeko la mimba za utotoni na maradhi ya zinaa, vijana wanaosomea masuala ya tiba katika vyuo vikuu kusini mwa Tanzania wameanzisha kampeni ya kuwaokowa wavulana na wasichana kutoka dimbwi hilo hatari. Kurunzi Afya 14.6.2021.

https://p.dw.com/p/3urnd