1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vifaa duni vyakwamisha uokozi Syria

9 Februari 2023

Juhudi za uokozi zinadhoofishwa na vifaa duni vya kufukulia vifusi kufuatia tetemeko kubwa kuipiga Syria na Uturuki. Wakazi wanalia muda unakwenda na wanashindwa kuwaokoa wenzao. Tizama video hii. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4NJHz