1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

VIENNA. Elbaradei achaguliwa kwa mara ya tatu.

26 Septemba 2005
https://p.dw.com/p/CEXT

Mkurugenzi wa shirika la kudhibiti nishati ya nyuklia duniani bwana Mohamed Elbaradei amechaguliwa kwa mara ya tatu kushika wadhifa huo licha ya upinzani wa Marekani.

Bwana Elbaradei ambaye ni mwanadiplomasia wa Misri amekuwa mkurugenzi wa shirika hilo lenye makao yake mjini Vienna tokea mwaka 1997.