1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utata kuhusu katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

11 Machi 2024

Jumuiya ya Afrika Mashariki yenye makao yake makuu mjini Arusha kaskazini mwa Tanzania, imeipinga taarifa iliyochapishwa na gazeti la “The East African” ikieleza kuwa katibu mkuu wa Jumuiya hiyo Dk. Peter Mathuki anakabiliwa na tuhuma za ubadhirifu wa fedha na kwamba ameondoshwa katika nafasi yake. Mchambuzi wa siasa kutoka Kenya Alutalala Mukhwana anachambua.

https://p.dw.com/p/4dOr2