1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiUganda

Fahamu utamaduni wa jamii za Ateker huko Afrika Mashariki

29 Septemba 2023

Tamasha la kila mwaka la jamii ya Ateker huwaleta pamoja watu wa jamii pana inayozingatia utamaduni wa asili yao. Jamii hiyo ya Ateker hujumuisha jamii na koo za Karamojong kutoka Uganda, Turkana na Pokot kutoka Kenya, Nyangatom kutoka Ethiopia na Toposa kutoka Sudan Kusini.

https://p.dw.com/p/4WymG