1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utamaduni kwa ajili ya amani nchini Kongo

Saleh Mwanamilongo
30 Mei 2023

Mbali na muziki wa Rumba, Kongo inataka kuuza pia utamaduni wake kupitia filamu. Kwa mara ya kwanza filamu iliyotengenezwa nchini humo imepewa tuzo kwenye tamasha maarufu ya filamu duniani Festival de Cannes nchini Ufaransa. Waziri wa Kongo wa Utamaduni, sanaa na urithi, Catherine Kathungu Furaha ambaye alihudhuria wiki iliyopita sherehe hiyo, baadaye alitembelea studio zetu za DW Kiswahili.

https://p.dw.com/p/4Rxjv