1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

Kinagaubaga: kuundwa kwa hifadhi za muziki wa Rumba

Saleh Mwanamilongo
18 Oktoba 2022

Baada ya Shirika la UNESCO kuorodhesha rasmi muziki wa rumba wenye asili ya Kongo katika orodha ya turathi za shirika hilo, serikali ya Kongo sasa inalenga kuunda hifadhi za muziki wa rumba. Hata hivyo wanamuzi wa Kongo bado kunufaika na haki miliki kutokana na muziki wao. Saleh Mwanamilongo anazungumza na Catherine Kathungu Furaha, waziri wa Kongo wa Utamaduni na sanaa.

https://p.dw.com/p/4ILy0