1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utalii wa kukwea milima Ujerumani

28 Aprili 2022

Nchini Ujerumani pia kuna utalii wa kutembelea maeneo tofauti yaliyohifadhiwa. Moja ya mbuga ambazo ni maaarufu sana inaitwa Sächsische Schweiz, iliyopo jimboni Saxony mashariki mwa Ujerumani. Mbuga hiyo inafahamika sana kwa utalii wa kutembea umbali mrefu na kupanda milima. Makala ya Sura ya Ujerumani inakupeleka katika mbuga hiyo. Mwandaaji na msimulizi wako ni Harrison Mwilima.

https://p.dw.com/p/4AZrn