1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ushirikiano wa maendeleo baina ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Ujerumani.

21 Februari 2023

Kunafanyika mjini Kinshasa mazungumzo kuhusu ushirikiano wa maendeleo baina ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Ujerumani. Baada ya majadiliano hayo ya siku mbili yaliyoanza leo, Ujerumani itatoa fedha nyingine kwa Kongo kwa ajili ya miradi mipya au kwa mwendelezo wa miradi ambayo tayari inaendeshwa.

https://p.dw.com/p/4NnlR