1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uongozi na motisha kwa wafuasi

14 Machi 2023

Zuwena Mohammed anajulikana kama Shilole, anaongoza wafuasi zaidi ya milioni 10 kwenye mitandao ya kijamii, lakini kwa mtandao wa Instagram pekee anawafuasi milioni 9.7 amewezaje kubadili mitazamo yao na kumchukulia kama mfano bora katika kuleta mabadiliko chanya katika maisha ya vijana?

https://p.dw.com/p/4Of7D