1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umoja wa Mataifa wahitimisha ziara Kongo

Benjamin Kasembe13 Machi 2023

Ujumbe wa umoja wa mataifa uliomaliza ziara yake jana katika mji wa Goma umewataka waasi wa M23 kusitisha mapigano dhidi ya jeshi la serikali ya congo na kujiunga katika mchakato wa kutafuta amani mashariki mwa nchi hiyo, lakini pia ujumbe huo umesisitiza suluhu ya kisiasa kumaliza mzozo huo unaoendelea. Mengi zaidi alituandalia mwandishi wetu wa Goma Benjamin KASEMBE.

https://p.dw.com/p/4Oaru