1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umoja wa Mataifa: Ajenda ya 2030 ya malengo ya maendeleo endelevu inataka ukeketaji ukomeshwe kabisa ifikapo 2030

Yusra Buwayhid6 Desemba 2018

Yusra Buwayhid amezungumza na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile kutaka kujua jitihada zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania kuhakikisha inafikia lengo hilo?

https://p.dw.com/p/39Yq1