1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukimbizi shida DRC

23 Februari 2023

Umoja wa Mataifa utapaswa kukchangisha zaidi ya dola bilioni 2.25 kwa mwaka huu pekee kwa lengo la kukabiliana na tatizo la walioachwa bila ya makazi katika maeneo kadhaa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

https://p.dw.com/p/4NspB