Ujerumani yashinda kombe la Mabara kwa mara ya kwanza, Qatar yawasilisha majibu ya masharti waliyopewa na nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu na Saudi Arabia kwa msuluhishi, Kuwait na Donald Trump atupia kihoja kingine kwenye ukurasa wake wa Twitter. Papo kwa Papo: 03.07.2017