1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yaomba radhi kwa ukoloni wake Afrika Mashariki

Sudi Mnette1 Novemba 2023

Mwanahistoria Mohamed Said nchini Tanzania anazungumzia kauli ya Rais Frank-Walter Steinmeier kuomba radhi nchini Tanzania kwa maovu ya ukoloni wa Ujerumani katika nchi hiyo ambayo ilikuwa sehemu ya kile kinachofahamika kama 'Ujerumani ya Afrika Mashariki' ikijumuisha sehemu za Tanzania, Burundi na Rwanda ya sasa.

https://p.dw.com/p/4YH71