1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yakumbwa na changamoto ya nishati ya uhaba wa gesi

Amina Mjahid19 Agosti 2022

Kwa miaka 400, Kampuni ya Heinz-Glas, moja ya wazalishaji wakubwa duniani wa chupa za manukato za glasi, imeshuhudia migogoro kadhaa...ikiwemo vita vya dunia na hata mgogoro wa mafuta ulioshuhudiwa mwaka 1970 katika karne iliyopita. Lakini hali inayoonekana sasa hivi nchini Ujerumani ya changamoto ya nishati ya gesi.

https://p.dw.com/p/4FmmA