1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yaiomba Tanzania radhi kwa madhila ya Ukoloni

1 Novemba 2023

Rais Steinmeier ambaye yuko ziarani nchini Tanzania, amezungumzia kusikitishwa kwake na kile alichokiita fedheha ya uhalifu uliofanywa na Ujerumani wakati ilipokuwa ikiitawala nchi hiyo ya Afrika Mashariki, enzi za Ukoloni.

https://p.dw.com/p/4YHlz