1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yaimwagia mabilioni ya msaada Tanzania

Sudi Mnette17 Novemba 2022

Ujerumani imeridhia kutoa msaada wa kiasi cha Euro milioni 87, kikiwa sawa na fedha za Kitanzania bilioni 210 za kitanzania kwa serikali ya Tanzania. Sudi Mnette amezungumza na Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania, Mwigulu Nchemba aliyeongoza ujumbe wa Tanzania kwenye majadiliano hayo yaliyofanyika mjini Berlin.

https://p.dw.com/p/4JeR7