1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani ilijikwaa wapi katika fainali dhidi ya England?

Jacob Bomani1 Agosti 2022

England ndio mabingwa wapya wa kandanda barani Ulaya upande wa wanawake baada ya kuwafunga Ujerumani 2-1 ugani Wembley. Ujerumani ambao wameweka rekodi ya ubingwa huo wa Ulaya walikuwa wanapigiwa upatu kwa mara nyengine kulishinda taji hilo. Lakini ilikuaje karata ikageuka? Sikiliza mahojiano kati ya Jacob Safari na mchambuzi wa kandanda na mwandishi wa zamani wa DW Sekione Kitojo.

https://p.dw.com/p/4ExBM