1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhaba wa maji na Mazingira Mombasa

Faiz Musa22 Novemba 2019

Wakaazi wa Mombasa wamezingirwa na bahari. Robo yao wanaishi katika mitaa duni isiyokuwa na mahitaji ya msingi ya kama vile maji masafi. Licha ya jitihada, kampuni ya usafi na usambazaji maji Mombasa ina uwezo wa kusambaza kiasi cha thuluthi moja tu ya maji.

https://p.dw.com/p/3TYkH