1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchambuzi: kuelekea uchaguzi wa Uganda

Saumu Ramadhani Yusuf17 Februari 2016

Uchaguzi Uganda unategemewa kufanyika kwa utulivu na amani kote, hata hivyo rais Yoweri Museveni amesema atakayethubutu kuanzisha ghasia atakiona cha mtema kuni. Je, kauli zilizotolewa zina maana gani katika mchakato huo. Mchambuzi wa masuala ya kisiasa Akol Amazima kutoka Kampala anaeleza zaidi

https://p.dw.com/p/1Hwdx