Uchambuzi juu ya kesi ya OngwenTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoGrace Patricia Kabogo21.01.201621 Januari 2016Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu-ICC, leo imeanza kusikiliza kesi ya aliyekuwa kamanda mkuu wa kundi la waasi la Uganda la Lord's Resistance Army-LRA, Dominic Ongwen. Mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Kampala, Ali Mutasa anaelezahttps://p.dw.com/p/1HhseMatangazo