1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uandishi habari kuhamasisha jamii dhidi ya majanga

Wakio Mbogho10 Oktoba 2023

Katika Makala Yetu Leo tunawaangazia waandishi wa habari kutoka mataifa mbali mbali, wanapotathmini utayari wao katika kuuandaa umma kukabiliana na majanga, mapungufu yaliyopo na changamoto wanazokabiliana nazo. Mwandaaji wa makala ni Wakio Mbogho

https://p.dw.com/p/4XKkr