1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tiba ya mionzi yaweza kutibu corona?

6 Mei 2020

Wataalamu wa afya wakiwemo wanasayansi na madaktari wanaendelea kujikuna vichwa wakitafuta dawa au chanjo dhidi ya virusi vya corona. Lakini je wanasema nini kuhusu tiba ya mionzi? Daktari Christian kutoka hospitali ya chuo kikuu cha Bonn anajibu.

https://p.dw.com/p/3brlM